Halafu mwenenu naona kama huyu mkwEere nikimwita "Profesa Kikwete" naona kama namtukana au namdhihaki.
Hata tukionana ana kwa ana, siwezi kumwita hivyo, nahisi anaweza kunipiga kibao kwa kumwita "profeseri"
Jk ni rais wa Tanzania hivyo kila linalofanyika na kugusa nchi lazima liripotiwe ,liwe baya au zuri ,tuache ushabiki na kupenda negativity tu kwa viongoz wetu wa kitaifa pia tupunguze kulalamika kwani anachofanya n kama mkuu wa nchi
Kuna ziara Fulani alifanya Dr slaa ,USA ilivyoripotiwA hapa daahh ilikua n mahaba kabisa na si ukweli
Tuheshimu viongozi wetu na tusiingilie taaluma za wana habari hata kama kilichoandikwa hakikufurahishi so tuheshimu taaluma zao kwani wanaongozwa na weledi wa taaluma zao
Sielewi kwa nini baadhi yetu tnakua wagumu kiasi hiki kuelewa, sikuandikia negativity ya aina yoyote ile kwenye thread yangu dhidi ya JK, na sijui kwanini hamtaki kuelewa nilichokiandika. nazungumzia umuhimu wa habari hio na sio JK, tofautisha msisitizo wa Habari. Yaani badala ya kutaja msafara wa kihistoria wangesema kuhusu Mikataba aliyokwenda kusaini, mapokezi has nothing to do with our taxes. Ila ukiwa mgumu wa kuelewa utaona kila kinachoandikwa ni kumdhalilisha Jk, tumieni vichwa kufikiri jamani, bytheway waliomdhalilisha JK ni hao Majira kwa kuacha kuandika madhumuni ya safari ya Jk na kujikita kwenye mapokezi.....hebu fikria tena ulichoandika kabla ya kupost Mpwa
Nadhani Sumu atakuelewa vizuri,Elli hajakataa habari ya mapokezi kuandikwa lakiwa kuwa ndio 'headline' ndio issue,ni sawa na mwandishi wa michezo anapoandika juu ya mechi iliyochezwa jana akaishia kuandika timu b ilipiga chenga nyingi bila kutuambia matokeo ya mechi,dhumuni la safari ndio ilipashwa kuwa headline na sio mapokezi.
wewe kweli unashangaza. chuki zingine ni za kustaajabisha. hapo tanzania ndio imepata mapokezi makubwa wewe umekazania tu jk. ishara ya kufanikiwa ziara ni mapokezi. majira hawajakosea kitu.
Nadhani hayo majibu hapo juu yanakutosha, some alichojibu Chakaza na lucky sabasaba hakuna mahali nilipomchukia JK, sijui mnasomaje hata sielewiSikiliza Sumu, anachosema Elli ni kuwa kwa vile Official visit ya Rais wetu kule China inapaswa iwe wazi kwetu sisi Watanzania habari ya mapokezi yake haikizi haja ya kufahamu nini kimejiri kule China kwa sababu apokewe kifalme au kama mjakazi kwetu sio issue bali issue ni kazi iliyompeleka imefanikiwa kwa kiwango gani na ni nini hasa kimefanyika na kina manufaa gani kwetu. Huwezi kuweka mapokezi kama habari kuu huku ukiacha yaliyofanyika huko kama msingi mkuu wa ziara yake, hivi akirudi TZ na habari tunayoijua pekee ni mapokezi yake wewe utaona ni sawa?
Madhara ya kuandika kwa msingi wa kufurahishana ndio tatizo la vyombo vyetu vingi vya habari na sisi kama wananchi tunabaki weupe vichwani bila kujua nini kinaendelea nchini wakati transparency inatakiwa katika day to day Government activities sio mapokezi.
cc Elli
Nimepitia comments chache nimeona vitu vya ajabu sana, ingawa uelewa na kufafanua jambo kwa kila mtu unatofautiana kuna vitu vingine havihitaji uelewa mkubwa kujua mleta mada alitaka kutoa ujumbe gani, kuna watu wengine sio wachangiaji bali walipukaji na wakurupukajiSikiliza Sumu, anachosema Elli ni kuwa kwa vile Official visit ya Rais wetu kule China inapaswa iwe wazi kwetu sisi Watanzania habari ya mapokezi yake haikizi haja ya kufahamu nini kimejiri kule China kwa sababu apokewe kifalme au kama mjakazi kwetu sio issue bali issue ni kazi iliyompeleka imefanikiwa kwa kiwango gani na ni nini hasa kimefanyika na kina manufaa gani kwetu. Huwezi kuweka mapokezi kama habari kuu huku ukiacha yaliyofanyika huko kama msingi mkuu wa ziara yake, hivi akirudi TZ na habari tunayoijua pekee ni mapokezi yake wewe utaona ni sawa?
Madhara ya kuandika kwa msingi wa kufurahishana ndio tatizo la vyombo vyetu vingi vya habari na sisi kama wananchi tunabaki weupe vichwani bila kujua nini kinaendelea nchini wakati transparency inatakiwa katika day to day Government activities sio mapokezi.
cc Elli
Mkuu ni bora ukaachana na watu wa aina hii, watakuumiza kichwa bure, unajua mtu akishakujengea negative attitude kichwani mwake ni vigumu sana akakuelewa hata kama utamwambia 1+1=2, atakupinga tu, wewe ni kama mwalimu, mwalimu akiingia darasani sio lazima wanafunzi wote waelewe, kuna vilaza wengine lazima waondoke kapa. Nakusihii acha kujibizana naoNadhani hayo majibu hapo juu yanakutosha, some alichojibu Chakaza na lucky sabasaba hakuna mahali nilipomchukia JK, sijui mnasomaje hata sielewi
Nimekuelewa Mpwa wanguMkuu ni bora ukaachana na watu wa aina hii, watakuumiza kichwa bure, unajua mtu akishakujengea negative attitude kichwani mwake ni vigumu sana akakuelewa hata kama utamwambia 1+1=2, atakupinga tu, wewe ni kama mwalimu, mwalimu akiingia darasani sio lazima wanafunzi wote waelewe, kuna vilaza wengine lazima waondoke kapa. Nakusihii acha kujibizana nao
Nimepitia comments chache nimeona vitu vya ajabu sana, ingawa uelewa na kufafanua jambo kwa kila mtu unatofautiana kuna vitu vingine havihitaji uelewa mkubwa kujua mleta mada alitaka kutoa ujumbe gani, kuna watu wengine sio wachangiaji bali walipukaji na wakurupukaji
Kwa kweli kama taifa linategemea vijana au wa namna hii basi nchi yetu tuna safari tusiyoijua tunaelekea wapi, natamani wote wanaompinga mleta uzi huu wangepitia japo kwenye hii comment yako huenda wangeelewa hata kidogo
Raisi wetu anadharirika kwa sifa za kipumbavu watu wengine wapo mstari wa mbele kutetea ujinga, wanataka kutuambia raisi kufuata mapokezi kule!!!?

Nimepitia comments chache nimeona vitu vya ajabu sana, ingawa uelewa na kufafanua jambo kwa kila mtu unatofautiana kuna vitu vingine havihitaji uelewa mkubwa kujua mleta mada alitaka kutoa ujumbe gani, kuna watu wengine sio wachangiaji bali walipukaji na wakurupukaji
Kwa kweli kama taifa linategemea vijana au wa namna hii basi nchi yetu tuna safari tusiyoijua tunaelekea wapi, natamani wote wanaompinga mleta uzi huu wangepitia japo kwenye hii comment yako huenda wangeelewa hata kidogo
Raisi wetu anadharirika kwa sifa za kipumbavu watu wengine wapo mstari wa mbele kutetea ujinga, wanataka kutuambia raisi kufuata mapokezi kule!!!?
Nadhani hayo majibu hapo juu yanakutosha, some alichojibu Chakaza na lucky sabasaba hakuna mahali nilipomchukia JK, sijui mnasomaje hata sielewi
Nilitegemea wachangiaji wengi waafikiane nawe kwa hoja yako, kwa bahati mbaya sana haijawa hivyo, nakumbuka humuhumu JF niliwahi kuchangia juu ya ujana kutokuwa kigezo cha urais, nilipokuja kuchoka ni pale nilipoona wachangiaji wameanza kunambia namzibia nyota kijana mwenzangu, nikagundua aina ya watu niliokuwa nao jukwani ipoje nikatafuta ngazi nikashuka, anyway Majira iliyokuwa inavutia kiuandishi ni ile ya miaka ya 1995 hadi 99 baada ya hapo hakuna kitu