Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Mkuu kutambulika si hoja,hoja ni kwamba unatambulika kwa mambo gani? Je ni kwa hii misimamo ya kijinga na isiyo na tija si kwake binafsi wala taifa lake
 
Mkuu kutambulika si hoja,hoja ni kwamba unatambulika kwa mambo gani? Je ni kwa hii misimamo ya kijinga na isiyo na tija si kwake binafsi wala taifa lake
Umepotea njia, dunia nzima wanapinga chanjo hizi
 
Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Rudi ilula ukageme ulanzi na kulima nyanya utunze familia ili ikukumbuke siku za mbeleni! Mmebaki wachache Sana humu msioamini kuwa ofisi za magu zimejaa na hahitaji kuteua Tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…