Gazeti la KINGO limekufa!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la KINGO limekufa!!?

Discussion in 'Entertainment' started by lukindo, Apr 11, 2011.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  Wasalaam,


  Kwa wale na hasa wapenda cartoon waliokuwa wakisoma gazeti la Kingo nawaombeni kunijuza juu ya kinachoendelea na gazeti hilo.

  Nimejaribu kufuatilia kama linaendelea kutoka lakini sijapata majibu yoyote na ninakumbuka ni jinsi gani gazeti hili lilivyokuwa likiwakilisha ‘kazi nzuri’ kupitia michoro.

  Au waandaaji walitiwa msukosuko?

  Tafadhali anayefahamu anajuze!

  Nashukuru
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  ??!!!!
   
Loading...