Gazeti la JAMHURI na Urais Membe

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,966
Reaction score
100,114
Wakuu Jamvini nimeona hii kitu katika Blog ya IssaMichuzi

Membe kaongelea kuhusu Kugombea Urais

Source:Gazeti JAMHURI
 
Attachments

  • jamhuri gazeti.jpg
    199.5 KB · Views: 148
Ni gazeti Lake?

Inasemekana ni moja kati ya magazeti matano aliyopanga kuyaanzisha Lowassa ili yamsaidie kwenda Ikulu akawatumikie Wananchi.:bange::bange::bange::bange:
 
Inasemekana ni moja kati ya magazeti matano aliyopanga kuyaanzisha Lowassa ili yamsaidie kwenda Ikulu akawatumikie Wananchi.:bange::bange::bange::bange:

sa' kama ya lowasa,je membe anahusikaje?c naskia wale viumbe ni Cheche?
 
Tuliyoyaona 2010, yatakuwa madogo, maana hawa jamaa wanaowania 2015 watatuonyesha sarakasi za ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…