yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
View attachment 541491
Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .
Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.
Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
Endeleeni kujifunza mkimaliza elimu sisi tayari tuko mbali