Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

Hill sio gazeti LA daily mail hao ni wakenya wenyewe na wamefanya kwa makusudi kabisa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 541491

Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .

Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.

Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza

Bakenya tupo faster kutumia nafasi ile napata. waTz iko nalala sanaa.
 
View attachment 541491

Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .

Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.

Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
Inamaana atujulikani kiasi hicho?
 
Ila hawa wazungu wanadharau sana jana kuna gazeti liliandika dar es Salam ni kijiji cha wavuvi si dharau hizi?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Washamba tu hao.... kuna mgombea mweza wa USA aliulizwa anaijuaje Africa. .. akasema Africa ni nchi.... hawa wazungu kwa mmoja mmoja tunawamudu sana tu ila kama society ndon wanapo tupigia bao... ni washamba tu wengibe....
wazungu wengi wajinga..hawana wanalolijua zaid ya walichosomea
 
View attachment 541491

Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .

Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.

Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
Hizi blunders why Daily Mail only?? Kuna editor mkenya nafikiri!!
 
Watanzania tumelala, tumelazwa na viongozi wetu kwa kunyimwa elimu bora Na kwa kuzibwa midomo. Tuko nyuma kwa kila kitu. ukishuka Nairobi Airport Hakuna tofauti na Airport za Ulaya. Fingerprinting ukilinganisha na zike alizofunga Lugumi, za Lugumi zinaonekana ni kama toi za Watoto ingawaje za `Lugumi zimetumia mabilioni. Dar es Salam Airport inatia hata aibu kwa pesa nyingi zilizotumika kuijenga, wizi wa hali ya juu. Naionea huruma nchi yangu, najionea huruma Mimi mwenyewe, nawaonea huruma Watanzania wenzangu hatuna pakukimbilia. Upinzani moto na serikali ni inayoongoza ni moto. Tulikuwa na hope na Rais `Magufuli, lakini uvunjaji wake wa sheria umetutia hofu badala ya hope. Kuzuwia elimu ya watoto wa kike inaleta hofu ya kuirudisha Tanzania nyuma badala ya kuendelea. Eh MUNGU tuhurumie.
 
wazungu wengi wajinga..hawana wanalolijua zaid ya walichosomea

Wazungu sio wajinga, ni sisi hatujui kuitangaza nchi yetu. Ni sisi wenye shida, sio wao. Wakenya wana kisomo cha kutosha cha kuwavutia wageni, wamejitajirisha kwa kutumia Mali zetu huku tumelala kwa uongozi mbovu. Usijipe moyo ukweli tumelala usingizi Wakati dunia inaendelea.
 
GUYS TRUST ME HAWA JAMAA WALIANZA KUITA FISHING VILLAGE NAHISI HUYO MWANDISHI KAPATA JOURNALIST RAFIKI WA KIKENYA WANAFANYA HAYO MADUDU INTENTIONALLY.NAENDA KUANDIKA MALALAMIKO KWA EDITOR WAO.
 
Wazungu sio wajinga, ni sisi hatujui kuitangaza nchi yetu. Ni sisi wenye shida, sio wao. Wakenya wana kisomo cha kutosha cha kuwavutia wageni, wamejitajirisha kwa kutumia Mali zetu huku tumelala kwa uongozi mbovu. Usijipe moyo ukweli tumelala usingizi Wakati dunia inaendelea.
tumelala nini bwana kama mwandishi wao yupo tanzania na anaita hiyo ni nairobi stadium sio mwandishi mwenye akili timamu huyo
 
Jamaa zetu nao wanapenda sana Ushindani wa Kitoto.

Obama alipokuja Tanzania walizusha Habari nyingi.

Hata hii ya Everton nayo wameianzishia.

Inashangaza!
 
Ngoja tuwafuate huko huko twitter. Wamuulize mtoto wa Raila. Tena tunawafuata na mitusi juu. Naombeni matusi ya kingereza kama mawili matatu
 
Mbn na nyie mmetumia picha za sgr yetu ya kenya kuwadanganyia mambumbumbu na kujifanya mmeanza kujenga yenu...

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
hivi pale chini ya habari kuna sehemu ya comments, hebu tuache kulialia twwnde tukaweke mambo sawa

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Wakulaumiwa ni ss wenyewe, Everton inacheza na Gor Mahia ya Kenya katika ardhi ya Tanzania
Obvious watakuwa wanajua wanachezea Kenya na sio Tanzania

Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app
Inaonyesha jinsi gani na wao hawako makink katika kazi, hawakufanya utafiti wa kupata taarifa sahihi kama chombo cha habari.
Uwa tunalaumu magazeti na vyombo vya habari vyetu vikipotosha mambo kumbe hata hawa wazungu nao wapotoshaji
 
Back
Top Bottom