kibaya zaidi nimeshuhudia watoto wa shule ya msingi wakiitana huku wakicheka huo upuuzi front page!! Mnastahili adhabu na tena huyo mtu awafungulie mashtaka! Mtu pensi imemvuka kwenye ugomvi unaweka gazetini!
Mumiliki wa Gazeti Unamufahamu???, Je aliwahi kukemea hotuba ya David Kameruni???Picha iliyowekwa ktk hili gazeti likionesha mwanaume mmoja makalio yakiwa wazi kabisa haikubaliki! Mamlaka husika tunasubiri "double standard" kwenye hili!! Kama nyie ni waungwana mtutake radhi KESHO!