Gazeti HOJA lazidi kuiandama CHADEMA.

Gazeti HOJA lazidi kuiandama CHADEMA.

Wanatumia fedha nyingi kupropaganda, watu wanakosa huduma za msingi wao wanalazimisha kubaki madarakani.

Wanapoteza muda na fedha, wanunuzi wa gazeti hawapo na wanaendelea kulichapisha ni kujichosha maana wakudanganywa hawapo.
 
Waacheni wahangaike sanaaaa lakn watu hawadanganywi na lolote,CDM Daima
 
Daah kma mm nilie mjin kati sijawah kulinunua, kulisoma na hat a kuliona vp kwa aliye kijijini si ndiyo hajawahi hata kulisikia?
Wajisumbua tu ukweli ni kwamba wtz wameshachagua kuimini chadema.
 
Ningependa tu kuwatoa hofu wapenda mabadiliko kuwa magazeti ya aina hii hayawezi kudumu au kumudu ushindani sokoni na muda si mrefu yatakosa mwelekeo kwani wasomaji wanaelewa wazi ni magazeti yapi yanaandika habari za kweli na yapi ya magazeti yaliyoanzishwa kwa malengo maalum ya kuudanganya uma.
 
Siasa za Tanzania zimefikia at da lowest point..! Kama chama tawala kinashindwa kujinadi na kujieleza kwa sera na kwa yale waliyoyafanya so far wakiwa madarakani na badala yake wanautumia muda na racilimali za taifa kukishambulia chama cha upinzani.. hakuna tena maendeleo kwa taifa..

Kumbukeni hii nchi sio property ya ccm..
 
Hlo gazeti linauzwa au linatolewa bure? Mbona huwa silioni kwenye mbao za magazeti?
 
Siasa za Tanzania zimefikia at da lowest point..! Kama chama tawala kinashindwa kujinadi na kujieleza kwa sera na kwa yale waliyoyafanya so far wakiwa madarakani na badala yake wanautumia muda na racilimali za taifa kukishambulia chama cha upinzani.. hakuna tena maendeleo kwa taifa..

Kumbukeni hii nchi sio property ya ccm..

Waacheni wajitekenye halafu wacheke! Gazeti wanaandika wenyewe, wanalinunua wenyewe kisha wanasoma wenyewe! Mfadhiri wake akiaona halileti yaliyokusudiwa atabwaga manyanga mwenyewe maana watanzania wa leo si wale wa miaka 50 ya uhuru!
 
Back
Top Bottom