mosha jimmy
Member
- Nov 30, 2013
- 22
- 2
Kwani wewe inakuhusu? mipango yake ya pesa anaijua yeye namna ya kuongeza kipato wewe si unalipwa buku saba na Nape!Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.
Gazeti hili linamaanisha nini? Viongozi wa Chadema mko wapi kutolea ufafanuzi wa kashfa nzito kama hii.?
View attachment 127614
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAR 18.12.2013 VICHWA VIKUBWA CHADEMA CHADEMA YANUKA DAMU,MAWAZIRI MATUMBO JOTO NA SLAA:JK DHAIFU. ~ dj sek
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.
Au angetumia muda huo kumtafuta baba yake mzazi, at least angekuwa na ubin wenye nasaba naye.
Hahahahaa waandishi wasahaulifu, si mtanzania ilifungiwa kwa kuandika "serikali yanuka damu"
Hahahahaa waandishi wasahaulifu, si mtanzania ilifungiwa kwa kuandika "serikali yanuka damu"
CDM imeishika mizigo pabaya,nadhani itakuwa chini ya mkanda! oneni mnavyoweweseka hadi aibu maskini magamba.
Nguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.
Nguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
walimuua chacha wangwe kwa kuhoji ruzuku, wakataka kumpa sumu ZZK sasa wananuka damu
ccm imeingiaje hapa wee mchumia tumboNguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
wakamuua chacha wangwe, wakammwagia tindikali mussa tesha kule igunga, wakamtesa kibanda na sasa wanaitafuta roho ya zittoWakamuuwa Kolimba, Imrani Kombe, Sokoine, Salome Mbatia, Amina Chifupa and likes.......
Hawa Chadema wabaya sana!
Wapo wasomaji wake kwani huwajui wamiliki wao!...sijawahi kununua hii takataka,na wanaonunua ninamashaka na uelewa wao wa kiakili....