Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,795
- 104,980
Mafuta yalipatikana mwaka gani?Ule mgogoro wa Israel na Palestina unawanufaisha wakubwa wa Dunia!
Kwahiyo kuisha kwake ni mpaka mali zote zilizopo huko mashariki ya kati na Uarabuni ziishe ndipo vita hivyo vitamalizika !!
Hakuna vita vya Dini pale, Wayahudi na Waarabu wamekuwa wakiishi pamoja hata huko Makka na kwingineko Uarabuni kwa miaka yote na walikuwa hawapigani !
Baada ya kupatikana mafuta Uarabuni ndipo mgogoro huo ulipotengenezwa !
Wakubwa wa Dunia wanataka mali sio Dini ! 😅😅😅.
Rejea Mgogoro wa Congo na kwingineko !
Uislam huu wa akina HaniyehKwa muislam mwisho 4. Mkiristo haoi au 1. Lkn mfumo wao sasa umebadilika. Mitaani siku hizi wakiristo wanawake zaidi ya 1. Uislam ndio dini pekee ilioweka mfumo mzuri wa ndoa
Ina maana Aisha alikuwa bitch?Ukifumba jicho yaani Allah akiichukua roho yako ongea tena hayo. Utajua huyo kafiri mwenzio aliekufundisha hayo kama hutamuona mbaya.
Waislamu wengi wanabatizwa kwa MwamposaWewe kweli mpuuzi. Ndio maana wanawake wengi wa kikiristo wanasilimu kufuata wanaume wa kiislamu . Lkn utafiti wa kisayansi unaeleza wazi faida ya kuwa na wengi wengi tena utafiti umefanywa na Wakiristo wanaovaa misalaba.
Kuhusu mke kumpeleka sokoni huo ni ujuha ndio maana utakumta mwanamke wa bara kabeba kuni, kenda maji, karudi shambani, kaenda kufuga ngombe Huku mwanamme yupo vilabu vya pombe na akirudi anamtandika ngumi mkewe kwa kuchelewa kupika. Sasa hayo ndio mapenzi unayoyata wewe?
Kama unaingia kwenye harakati za kupigania uhuru huku ukiwa na huruma na familia yako uliyo acha nyuma haufai popote pale kwa mapambano.-Na ukitaka adui anyong'onyee,ua/umiza wapendwa wake.
-If you love your family and friends,stay away from them.
-ukitaka adui aongee kwa kuchanganyikiwa umiza mpendwa wake.
Wale jamaa walishajua kila kitu long time kabla hata hawajajua watayachimba vipi ?Mafuta yalipatikana mwaka gani?
Wewe mlokole ndiyo unaogopa Wapestina wamezaliwa kwenye uwanja wa vita Gereza la wazi vifo kwao ni kawaida kabisa tofauti wewe kijijini kwenu watu wengi wanakufa kwa UTI wewe mwenyewe unaumwa Festura.Taqbir.
Kwahiyo huyu gaidi hakuchukuwa familia yake Kula nayo bata Qatar?
Jambo hili limenistua sana, yaani yeye yuko peponi wenzake kuwaacha jehanamuItapendeza kama viongozi wa Hamas watahama Doha Qatar wahamie Gaza ndio nitawaelewa, kuliko wanachokifanya sasa kumeza Viagra Doha na kuwasababia matatizo wakazi wa Gaza.