Gays Are The Problem, Not Straights

Kama unapumuliwa mgongoni, Bazazi! yupo tayari kukustarehesha lakini lazima ulipie!

Ndimi Bazazi!

ha ha ha ha ha !@bazazi wewe kiboko kaka yangu. ila usimrushe maji mtu kama huyu atakuharibia bure starehe za maisha yako. ila siku hizi wanakuja juu kweli kudai haki zao wengine nimewaskia redion wakitaka serikali ya tanzania iwatambue lol laana sasa sijui itakuwaje manake wanaume hao hao tuanze kunyang'anyana na bwabwa? aisee ndio maana watu wanasema wanaume wachache duniani.
 
Sitetei but for me if your gay sina matatizo na wewe maana hayo ni maamuzi yako umeyaamua kuyafanya hata nikikutukana, kukuzomea sana sana tutatafutana ubaya tu na kamwe huwezi kuacha sana sana utakuwa unajificha pale utakaponiona so what endelea na mambo yenu tukikutana kwenye kazi au jamii ni kazi kwa kwenda mbele mambo mengine mtajijua huko huko, angalizo hata sisi wanaume tunaowafanya wasichana nyuma zao vile vile una dalili za kwenda kuwa top gay then utakuwa kote kote mwisho unakuwa chini kwa hiyo nao waangalie sana pia siku hizi wasichana wanaona fasheni kufanyiwa hayo maushenzi, samahani hasa watoto wenye rangi fulan fulan hivi ndio wanapenda sana kufanyiwa, kila mtu na biashara yake hainihusu sana na misaada hiyo bado inakuja na bado mnaipokea tu mwisho wa siku akikuambia ugeuke utakataa? there is no free lunch siku hizi. nilimsikia waziri mmoja eti wakitunyima msaada kwa sababu tumepinga ushoga tutajifunga mkanda kwanini usijifunge mkanda now mpka usubiri wakunyime?? mtaniambia siku si nyingi. na tatizo africa hili tatizo litakuja kwa kasi ile mbaya wenzetu kule wanafanya kwa starehe zao ila sisi tutafanya for benefit maana wengi wanaishi kwa kipato kidogo sana kwa hiyo wengi watavamia hii fani kwa ajili ya kujipatia pesa so litakuwa tatizo kubwa sana kwa vijana wetu. angalia wale vijana walioshiba wanaojiuza pale barabarani karibu na pub moja kama unaelekea aghakan hospt wanajiuza kwa wamama ila cha kushangaa wanaume nao wakija na magari yao wanaingia sasa unajiuliza huwa wanajuana kama washkaji au nini kinaendelea hapo?? kwa wenye familia malezi bora hutoka kwenye familia bora kama unajifanya eti uko busy na kazi zako huna muda hata wa kukaa na mtoto na anachokifanya toka akiwa mdogo kwa kumkataza hiki ni kibaya hiki ni kizuri usishangae sana siku akija akikuambia "mum im a gay" sijui utalia nani na kila siku unamuomba mungu akusaidie ktk familia yako, huwezi kusali tu bila na wewe mwenyewe kujishughulisha na matunzo ya watoto kwa vitendo.
 
Dah nimeshtuka sana.. Sasa mtu kama huyu akijitangaza hapa anatafuta mpenzi, maskini mie naweza kuingia kichwa kichwa kumbe mwisho wa siku naishia kupata mwanaume ambaye si riziki.. Tuwe makini ma single ladies wenzangu...
 
Nchi za Maghabiri siku hizi mzazi akiwa na mtoto wake wa kiume anajua kabisa anaweza akaletewa mwanamke au akaletewa mwanaume nyumbani,Mungu atuepushe tu tusije fika huko na sisi.
 
Kumbe wewe gay.......loh



Gay men keep talking about their sexuality. They feel insecure and unsafe all the time. Even when straights are least bothered. It's like pulling the tail or tugging at the tail of a sleeping lion. I do not mean straights are superior by using the term 'lion'. No no. I just mean we gays some times provoke them straights. Wearing those skinnies and make up all over your face and yet you are a dude is like carrying a placard written 'I am gay!'. I mean who cares? Just be confident in your gay skin without announcing to the whole world. Behaving like a girl in social places doesn't help you either. Even the so called gay bashing many times occurs when gays provoke the rest of society.
 
Hi Boflo, mambo ni aje lkn!
Me like you the way u r, coz l ain't any saint. I pray for you ili uweze muoa binti yangu coz anamalizia unyago next moon!
 
Last edited by a moderator:
Hi Boflo, mambo ni aje lkn!
Me like you the way u r, coz l ain't any saint. I pray for you ili uweze muoa binti yangu coz anamalizia unyago next moon!
Kaunga itakuwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi ......

halafu eti kula kuku na yai lake is bad manner au is ok?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga itakuwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi ......

halafu eti kula kuku na yai lake is bad manner au is ok?

Marfuuukuuu! Ni mayai tu, wakwe wengine bwana! Utakosa vyote shauri zako.
 
Last edited by a moderator:
hua nashangaa kwanini magay wanabana sauti zao kuliko hata wanawake wanavyoongeaga au tembea yao wanazidisha kuliko wanawake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom