Gay Kenyans Launch Online Forum!

Haya wanaotaka haki munawajua mashoga wa nairobi kenya uganda, south africa ,malawi na wanaungwa mkono na wazungu halafu tucngizieni watu wa znz , tanga ,na mombasa pamoja na waarabu kuwa tunapenda mambo haya
 

.......... ukiliona jambo baya lizuie kwa mikono yako, ukishindwa likemee kwa mdomo wako, na hilo likikushinda basi linunie, ingawa hiyo ni imani dhaifu (Quran)
 
alikupigia simu ulipata sms yake au fax ???

Ataingia na ndege ipi ????au ana private jet kama aliyo nayo pastor benny hinns

haji kwa ndege wala kupiga simu, ila aliacha namba yake ya simu/ au mkataba....Mathayo 11:28-31- Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.....
 
haji kwa ndege wala kupiga simu, ila aliacha namba yake ya simu/ au mkataba....Mathayo 11:28-31- Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.....
aya hiyo ameitoa matayo yupi angalia matayo9:9
 
Unajifanya kipofu ???? AU NDIO WEWE DONT ASK DONT TELL ??? kazi kweliii !!!!!!!!!!!! hivi hujui kinachofanyikana kanisani mwako?????

Kama si sin, basi kwanini yule mtume alifanyanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…