Kumbe mitandao ina mambo ya gawio na hamsemi ...?tigo nao wanatoa gawio..?
ATCL na DP WorldBaada ya muda kuwa na lain ya ttcl hatimaye Leo nimepata gawio la tsh 29000/ kama sehemu ya gawio Kwa kutumia lain ya Ttcl,
Je Kwa uzoefu wako, mtandao upi unatoa gawio kubwa ukilinganisha na ttcl?
mm jana tgo wamenipa sh 30 et dah😁😅Ndio,wanaangalia transactions zako kwa mwezi
Wamenipa 128mm jana tgo wamenipa sh 30 et dah![]()
Duuh yaan hawa jamaa sio kbsaWamenipa 128
Wamenipa 128
Hawa sitak kuwasikia ttcl pekee wamenipa gawio la 29000 elfu, na Bado Kuna wengne wamepata Zaid ya lakin Moja. Ttcl sihamiNimeambulia gawio la Tsh.10
Hilo Gawio sio la T-pesa...namba zimekufelisha hapo katika kuwanywesha watu chai Bosi.Hawa sitak kuwasikia ttcl pekee wamenipa gawio la 29000 elfu, na Bado Kuna wengne wamepata Zaid ya lakin Moja. Ttcl sihami
Successfully received Tsh 29,218.82 from T-PESA GAWIO- 255737811160. Your available balance is Tsh 29,120.92. Txn Ref#: 262939653.
Hilo Gawio sio la T-pesa...namba zimekufelisha hapo katika kuwanywesha watu chai Bosi.
Amount received imekuwa kubwa kuliko available balance.
Sent using Jamii Forums mobile app


umemdaka utamu sanaNimeedit kuepusha fraud, but niliyopokea ni hicho kiasHilo Gawio sio la T-pesa...namba zimekufelisha hapo katika kuwanywesha watu chai Bosi.
Amount received imekuwa kubwa kuliko available balance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Hawa mat*ko Kila siku wanatangaza hasara kumbe wanamwagia watu mihela?Wanatoka gawio Kwa faida gani wanayoingiza?