mbayumbayu
Senior Member
- Jan 25, 2012
- 110
- 83
Mkuu siku ya kwenda kuchukua hiyo hundi yako nenda na kadi yako ya ATM kabisa maana wakikukata na kodi ya zuio (withholding tax) balance haikutoshi nauli na lunch ya siku hiyo. Hamna jinsi utaingia ATM tu. Labda ujiongeze uwe na hisa angalau 500,000Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Nani alikwambia Fixed diposit wanachukua sh.800,000? Na Utapata Faida Kubwa?Duuh Mkuu.. Afadhali hata ungefungua fixed deposit ac lol.. Ndo maana hisa za Vodacom, wananchi wengi walikuwa very reluctant kuzinunua..
Inaitwa Withholding Tax ni 5% kwa Mtanzania huyo atalipa Tsh. 1,750Samahani wakuu, hivi kodi inayokatwa kutokana na faida ya kuuza hisa au gawio ni asilimia ngapi?
Thanks mkuu.Inaitwa Withholding Tax ni 5% kwa Mtanzania huyo atalipa Tsh. 1,750
Mkuu bhana, umeniacha nacheeeeeekaAliyekwambia hisa ni asset nani? huna elimu juu ya umiliki wa hisa, huwezi kununua hisa ili kupata gawio, hisa ni kama bidhaa unaangalia asubuhi wapi inapatikana kwa bei ya chini, unanunua mchana ikipanda unauza unahesabu balance iliyobaki, unatafuta bar yenye warembo wazuri unatulia kusubiri siku nyingine. Hiyo ndi biashara ya hisa.
Well said mkuu, na hyo ndo maana ya faida ya hisaFaida ya hisa siyo kwenye gawio. Ni "kuspeculate the best time to sell your shares". Faida iko kwenye mauzo. Unanunua kwa bei ndogo na unauza wakati share price imepanda.
vihisa vyenyewe vichache unatokwa na povuLeo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
CRDB wametikisika kweli miaka hii miwili, maamuzi ya kutoweka hela za serikali huko yamewagusa sana.Nani alikwambia Fixed diposit wanachukua sh.800,000? Na Utapata Faida Kubwa?
Rate ni Hizi hapa tena Mnajidiliana inaweza Kuwa Chini
CRDB Bank 1 Year Fixed Deposit 7.50%
CRDB Bank 6 Month Fixed
Deposit 5.50%
CRDB Bank 3 Month Fixed
Deposit 4.50%
Word!Wakati serikali inazivuruga benki tulikuwa tunachekelea,sasa ni msimu wa mavuno
" when they came for the Jews,I kept silent because I was not a Jew......"
Dunia sio mbaya kwa sababu kuna watu wabaya,bali kwa sababu watu wema wanakaa kimya wakati ubaya unafanyika........."
Biashara ya hisa ni ngumu sana inahitaji uvumilivu sana, some time wataki faidi sana ni watoto wako, weww unaweza usiwe Duniani kipindi sasa faida kubwa inaonekana.Leo nimepewa taarifa kuwa katika kikao cha Wanahisa kilichokaa mjini Arusha imeamuliwa kuwa gawio la kila hisa iwe shs. 10. Haingii akilini kwangu kutokana na faida ya Tshs.75bn iliyopatikana gawio inakuwa shs.10 kwa hisa moja. Ninatarajia kuuza hisa zangu zipatapazo 3500 ili nichukue ustaarabu mwingine. Ina maana katika hisa zangu 3500 gawio langu ni shs.35,000 bado kodi. Kwangu naona kama tusi. Hata akaunti yangu nitahamisha kutoka CRDB.
Watanzania bado ni waogoa sana. Mentality za kijamaaDuuh Mkuu.. Afadhali hata ungefungua fixed deposit ac lol.. Ndo maana hisa za Vodacom, wananchi wengi walikuwa very reluctant kuzinunua..
Hivyo viwanja havina fofauti na kununua hisa, Hivi unanunua kiwanja Milioni 3 unakuja kukiuuza milioni 50 baada ya miaka 20 unaona umefaidika sana?Mkuu uwekezaji mzuri ni kununua viwanja vilivyopimwa, kwa sababu ardhi inaongezeka thamani kila siku, mimi nilikuwa na viwanja vinne hapa dar ambavyo nilivinunua miaka miwili iliyopita kwa milioni nane nimeviuza majuzi kwa milioni 40
Kwani kwenye gawio la Withholding tax.Mkuu siku ya kwenda kuchukua hiyo hundi yako nenda na kadi yako ya ATM kabisa maana wakikukata na kodi ya zuio (withholding tax) balance haikutoshi nauli na lunch ya siku hiyo. Hamna jinsi utaingia ATM tu. Labda ujiongeze uwe na hisa angalau 500,000
Izo bank [emoji542] zinaongopa kwa wateja wao. Bank inayotoa hisa kubwa ni exim bank na wenyewe 8%.CRDB wametikisika kweli miaka hii miwili, maamuzi ya kutoweka hela za serikali huko yamewagusa sana.
Banc ABC wanatoa fixed deposit 13% hadi 16% sasa hivi kutegemea una kiasi gani.