Gawio la CRDB

Gawio la CRDB

Ambrose Koller

Senior Member
Joined
Oct 13, 2024
Posts
102
Reaction score
84
Wakuu mna maoni gani kuhusu gawio la CRDB lililotangazwa leo? Naona kama ni kidogo sana ukilinganisha na performance ya kampuni kwa mwaka mzima
 

Attachments

  • IMG_20250414_071756.jpg
    IMG_20250414_071756.jpg
    76 KB · Views: 23
Hilo gawio liko poa Sana ukilinganisha na bei ya kila hisa,hisa moja ya Crdb kwasasa ni kama 770,ukilinganisha na makampuni mengine kwa kuchukua bei ya hisa gawanya gawio utaona Crdb ni the best kwa Sasa.
mfano
Tbl 10400/530=19
Tcc 16200/670=24
Crdb 780/65=12
Hii inamaanisha
Ukiwekeza Tbl itakuchukua miaka 19 ku break even,Tcc itakuchukua miaka 24 na Crdb itakuchukua miaka 12(hii ikiwa utalipwa once a year na at the same amount)

Hii ndio sababu kwanini hisa za Crdb ndio top mover kwasasa na hakuna hata anayemkaribia kwa karibu.
 
Wakuu mna maoni gani kuhusu gawio la CRDB lililotangazwa leo? Naona kama ni kidogo sana ukilinganisha na performance ya kampuni kwa mwaka mzima
Unatakiwa uwe na hisa 184,615 angalao upate million kila Mwezi.
 
Unakuta huna hata kipande cha hisa kwao.
KAZI ni kipimo cha utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom