Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rais Magufuli => Leo nimeamua kumteua Gavana katika hawa nilowapa vyeti leo. Nimemteua Prof. Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu mara baada ya Gavana aliyepo kumkabidhi. Prof. Luoga ni Mtaalamu wa Taxation law.



Wasifu wa Profesa Florens Luoga
Prof. Luoga (born in 1958) is a professional lawyer. He has a Bachelor of Laws (LL.B. Hons) from the University of Dares Salaam (1985); LL.M. from Queen's University (Canada, 1988); Master of International Law (MIL) from Lund University (Sweden, 1991); and PhD in Law from the University of Warwick (UK, 2003).

He was employed by UDSM as Tutorial Assistant in the then Faculty of Law (now University of Dares Salaam School of Law) in 1986; he then promoted to Associate Professor in 2005. He has held various administrative posts at UDSM, including the following: Chairman of the Legal Aid Committee of the then Faculty of Law (1993-1995); Associate Dean- Administration, Faculty of Law (1992-1996, 2003); Director of Undergraduate Studies (2005-2009), University Corporate Counsel and Secretary to Council (2009-2013); and Acting Deputy Vice Chancellor- Research and Knowledge Exchange (2013 to date). Besides, Prof. Luoga is an advocate of the High Court of Tanzania.

Prof. Luoga researches and publishes widely in the areas of taxation, human rights, law and procurement.
 
Wanabodi,

Huu ni Uteuzi wa aina yake ambao umefanyika leo kwa kauli tu.

Kabla ya kutangaza uteuzi huu, aliishutumu BOT kwa uzembe ya kuachia haya, akamkumbusha Prof. Ndulu kuwa mwisho wake ni December, anasema anadhani atafungasha haraka haraka.

Ningekuwa mimi ndio Prof. Ndulu, nisingesubiri tena hadi hiyo Desemba, ajichukulie tuu likizo yake ya mwaka, arudi na kukabidhi ofisi kwa Gavana Mpya.

Hongera sana Prof. Florence Luoga. Kiukweli kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni funga Kazi.
  1. Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma
  2. Naibu Spika, Dr. Tulia Akson
  3. Gavana wa BOT, Prof. Florence Luoga
  4. Waziri wa Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi
  5. Waziri wa Habari, Dr. Harison Mwakyembe
Namfahamu Prof. Luoga, ni kichwa mbaya!.
Pia najua kuna watu wasiojua sifa za gavana, watakuwa na wasiwasi na uteuzi huu kama unakidhi sifa na vigezo, mnaweza kutembelea website ya BOT kujisomea sifa na vigezo vya gavana.


Paskali
 
CV yake tafadhali na pia majukumu ya Gavana ni yapi kwa serekali? Maana naona kama kuna mtu anataka maelekezo yake yawe ndio ya mwisho katika utendaji wa BOT, japo BOT Ni chombo huru na ni mshauri wa serekali ila serekali inataka kuwa mshauri mkuu wa BOT. Embu wataalamu wa usimamizi wa fedha tusaidiane hapa!
 
Bachelor of Law University of Dar es salaam 1985
Master of International Law from Lund University Sweden 1991
PhD in Law University of Warwick UK 2003
He was employed by UDSM as Tutorial Assistant in then Faculty of Law UDSM In 1986
Promited to Associate Prof. In 2005.
Director of Undergraduate Studies 2005-2009.
University Corporate Counsel and Secretary to Council 2009-2013.
Acting Deputy Vice Chancellor- Research and Knowledge Exchange 2013 to Date.
Besides, Prof Luoga is an advocate of the high court of Tanzania.
 
Back
Top Bottom