Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
I admire Sonko because he is not pretending, anaishi kama yeye na siyo ku-fake maisha ya mtu mwingine...
Haha hii style yake ya siasa iliwatikisa sana wanasiasa koko. Wachanganuzi wa maswala ya kisiasa waliongea sana. Alipofika bungeni kwa mara ya kwanza hata waheshimiwa wenzake hawakuwa wanataka kumuona. Kazi yao kusoma tu ripoti, mara sijui kamati wakati hawaelewi mahitaji ya wachuuzi, wauza samaki na mama mboga kule mashinani.I admire Sonko because he is not pretending, anaishi kama yeye na siyo ku-fake maisha ya mtu mwingine...
Gavana wa Nairobi kwa sasa, Mike Gideon Mbuvi au ukipenda Sonko. Enzi zilee...juzi juzi tu alipokuwa Mbunge kisha akawa Seneta. 🙂![]()
![]()
Ila siku hizi anajaribu sana 'kutokelezea' kama magavana wenzake. 😀😀![]()
![]()
Anaelewa. Huyu jamaa wakimgusa Nairobi kutaungua. Kupitia sera zake, vijana na kina mama wamefaidika sana. Mikopo ya kuanzisha biashara wamepata, stalls za kisasa za kufanyia biashara zao, kulipiwa karo za watoto kwa wasiojiweza. Miradi kadhaa ya kuinua vikundi vya vijana wa kipato cha chini. Jamaa kuna wakati alikuwa na Sonko Rescue Team, zilikuwa ambulance na magari ya kusafirisha watu bure wakati wa msiba. Isitoshe mara kibao amkuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano kupinga thulma dhidi ya wanainchi. Kuna siku amesimamisha shughuli ya bomoa bomoa ya nyumba za watu kwa kumpigia rais simu kisha akaeka loudspeaker. 🙂 Anajielewa zaidi ya wengi.
Hahaha! 😀 Kenyan born. Vijana na kina mama ndio walimuingiza bungeni, alipowania ubunge wa Makadara, Nairobi kwa mara ya kwana. Hamna wa kumchapa vibao wala nini. Wanajua kura alizo nazo. Siunawajua tu wanasiasa. Wanataka wote wawe karibu naye ili angalau wapate kipisi cha umaarufu wake. 😀Kenyan born and bred?!, hehe, huyu kweli matata.
Pengine anajaribu kuwa karibu na vijana.
Lakini powa kuwa Gavana wa capital city of E.A 🙂
Sipati picha tuwe na mmoja kama huyu, wallah atachapwa vibao kwenye umati wa watu na Lais..
Unaeza amini kwamba gavana aliyekuwepo, ambaye walikuwa wanabishania kiti hicho na Sonko. Alipiga marufuku huduma za ambulance na magari ya Sonko Rescue Team? Eti alisema sio halali kwasababu kupeana huduma hizo inafaa iwe kazi ya serikali yake ya kaunti ya Nairobi. Wakati yeye hakuwa anashughulika kupeana huduma zenyewe. Ikawa mwisho wa huduma hiyo. Hivyo tu. Waafrika hatujipendi.WoW!, Nice!
Hahaha! 😀 Kenyan born. Vijana na kina mama ndio walimuingiza bungeni, alipowania ubunge wa Makadara, Nairobi kwa mara ya kwana. Hamna wa kumchapa vibao wala nini. Wanajua kura alizo nazo. Siunawajua tu wanasiasa. Wanataka wote wawe karibu naye ili angalau wapate kipisi cha umaarufu wake. 😀
Unaeza amini kwamba gavana aliyekuwepo, ambaye walikuwa wanabishania kiti hicho na Sonko. Alipiga marufuku huduma za ambulance na magari ya Sonko Rescue Team? Eti alisema sio halali kwasababu kupeana huduma hizo inafaa iwe kazi ya serikali yake ya kaunti ya Nairobi. Wakati yeye hakuwa anashughulika kupeana huduma zenyewe. Ikawa mwisho wa huduma hiyo. Hivyo tu. Waafrika hatujipendi.
Kaulize "Muzungu"Mimi mjinga kidogo naomba nieleweshe tofauti katia ya Mbunge na Seneta ni ipi?
Kumbe yuko njema nlikuwa na mchukulia poaAnaelewa. Huyu jamaa wakimgusa Nairobi kutaungua. Kupitia sera zake, vijana na kina mama wamefaidika sana. Mikopo ya kuanzisha biashara wamepata, stalls za kisasa za kufanyia biashara zao, kulipiwa karo za watoto kwa wasiojiweza. Miradi kadhaa ya kuinua vikundi vya vijana wa kipato cha chini. Jamaa kuna wakati alikuwa na Sonko Rescue Team, zilikuwa ambulance na magari ya kusafirisha watu bure wakati wa msiba. Isitoshe mara kibao amkuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano kupinga thulma dhidi ya wanainchi. Kuna siku amesimamisha shughuli ya bomoa bomoa ya nyumba za watu kwa kumpigia rais simu kisha akaeka loudspeaker. 🙂 Anajielewa zaidi ya wengi.
Yea ndo maana watu wa kipato cha chini walimpigia kura awe gavana wakati wengi walisema hana hadhi ya kukalia kiti hicho. Tena kwa kura nyingi zaidi ambazo zimewahi pigiwa mtu yeyote ule kando na kiti cha urais. 850,000+ zote zake kwenye kaunti moja tu. Ingekuwa ni kwenye mchuano wa urais angekuwa ameshika nafasi ya tatu baada ya Raila.Kha!, kweli hatujipendi. Amefanya vizuri sana kuonekana na kujiweka karibu na watu.
And that's what most of us want. Mtu anaejali or at least kuonyesha kujali.
Viongozi wenye akili watajifunza kutoka kwale.
Anajaribu ila sasa hivi kawa gavana na anapingwa sana na wale ambao wamekuwa wakijiita wenye jiji tangu zamani. Yaani matajiri wale, mabepari.Kumbe yuko njema nlikuwa na mchukulia poa
Sonko hajaanza leo kutupia pamba za hivyo...so ugavana hautamshinda. Nakumbuka mwaka ule wa 2014 ndio alikuwa anashine balaaMimi naona huu ugavana utamlemea. Yeye anapenda mahala ambapo atatolea stress zake. Time will tell. Bling sio ishu ila sasa ndio wakati wake mwafaka wakuwajibika.
joho noma sanaaYule wa Mombasa anajiita JOHO 001, hii 001 ktk alias yake INA maana gani?
Kaunti zote za Kenya ni 047 zimepewa nambari ikianza na pwani kuja bara. Mombasa ndio kaunti 001. Kwa Joho, anaitwa Sultani swahiba yake Ali Kiba.Yule wa Mombasa anajiita JOHO 001, hii 001 ktk alias yake INA maana gani?
Hahaha picha zenyewe hapo kadhaa ni za zamani. Ana visanga Sonko. Kuna siku alipiga ukuta ngumi hadi akaumia, 😀 wakati akiongoza maandamano kwenye eneo lake la ubunge. Kupinga kubomolewa kwa sehemu ya soko.Sonko hajaanza leo kutupia pamba za hivyo...so ugavana hautamshinda. Nakumbuka mwaka ule wa 2014 ndio alikuwa anashine balaa
Halafu ana kiburi vile anaelewana sana na Mkulu....Kenyatta.
Nadhani kaunti nikama wilaya au mkoa..!!!Mbunge anawakilisha eneo bunge. Seneta anawakilisha kaunti, maeneo bunge kadhaa kama tano sita hivi ndio huwa yanakuwa kaunti moja. Seneta anaiwakilisha serikali ya kaunti yake kwenye bunge la seneti. Mbunge yupo bungeni kama mwanasheria chini ya serikali kuu. Maseneta ni 47 tu pamoja na wengine kadhaa wa kuteuliwa.
Mshkaji yupo vizuri sana kiukweli.Hahaha picha zenyewe hapo kadhaa ni za zamani. Ana visanga Sonko. Kuna siku alipiga ukuta ngumi hadi akaumia, 😀 wakati akiongoza maandamano kwenye eneo lake la ubunge. Kupinga kubomolewa kwa sehemu ya soko.
Kama mkoa.Nadhani kaunti nikama wilaya au mkoa..!!!