Husband seeker
Senior Member
- May 6, 2018
- 125
- 76
Na kweli maana magauni yote hapo ya watu slim.shape yako ndio gauni lako mama
Ana weka oda linatengenezwa kutokana na shape yakeNa kweli maana magauni yote hapo ya watu slim.
Mengine yanapendezea wembamba na mengine yanapendezea wanene.Ana weka oda linatengenezwa kutokana na shape yake
sio juu umevimbamikono km unabebaga zege afu eti unavaa mgongo wazi au kata mikono loohNa kweli maana magauni yote hapo ya watu slim.
kwanini usipangilie la shapeyako? mamboya kukongoloa gauni mpaka ifike siku husika si litakuwa linesha chakaa?Ana weka oda linatengenezwa kutokana na shape yake
Achana na haya meupe marefu, sasa hivi fashion vimini vya PinkWadau wazima nipo online na chagua design za magauni ya harusi ni chagulieni kati ya haya lipi zuri
Bangi zingine mbayabWewe ndo nakuoa kweli? au macho yangu!!!! ila nilishakupenda