Gauge ya mafuta rava 4 mwanza

Gauge ya mafuta rava 4 mwanza

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
Natafuta hiyo gauge, gari yangu inaleta shida na kuna fundi kaiona na kasema inaitajika badilishwa..kwa fundi anaeweza pata tuwasiliane hapa
 
Pompompo ndo wapi niende sasa
 
Nenda sisi kwa sisi Garage iko karibu na toyota ulizia fundi anaitwa Inno au Masawe utapata suluhisho la gari lako iko pale igogo
 
Back
Top Bottom