Gaucho amsuta Dunga...

Huyu jamaaa anakipaji cha aina yake! Ile kanzu enzi zangu ningelamba red card

ha ha ha mchangani hile kama ujampiga buti basi mara nyingi ule mpira mtu unaushika wapige free kick ,huwezi kumuachia mtu akupiga kanzu vile na kupokea kwa kifua noma hile unaweza kuzomewa mpaka mechi inaisha.
 
DINHO hata akiitwa saivi hana haja ya kwenda Cz Jamaa kamkosea Heshima
Ila DUNGA katukosesha Burudani hata PATO jamani?
 
Wewe unakurupuka kama mwanariadha wa mita mia. hebu Onyesha mahali nilipomtaja Mungu... Kisha kwa taarifa yako wewe unayependa kukurupuka ukae ukijuwa kuwa maandiko yanasema Mungu yuko mahali kote. Sasa wewe unayejitia kumjua sana ukae na kulijuwa hili.

Msaidie naona anakariri mambo huyu. Ukimeza mistari ya Biblia bila kutafakari mtu anaongea nini na katika mazingira gani au wakati gani utakuwa unapoteza wakati. Nadhani anahitaji kutumia jukwaa la dini atatusaidia zaidi kutupa habari njema
 
Duh! Dinho alimfanya kitu mbaya captain Dunga! dah wacha amwekee bifu ila brazil wanavijana wengi tu wazuri wanaochezea ligi ya nyumbani.Wakina dinho wana exposure ya kuchezea ligi mbalimbali za duniani inabidi Capt Dunga aangalie hilo swala..ukongwe dawa kwenye WC
 
Back
Top Bottom