Gate Automation Solution

TZU

New Member
Feb 28, 2016
1
1
Kwanini uhangaike kupiga horn na kusubiri kufunguliwa geti? Kwanini uhangaike kushuka kwenye gari yako ili ufungue geti mwenyewe kisha uingie tena kwenye gari ili ulitoe gari nje, kisha ushuke tena ili ufunge geti kabla hujaondoka nyumbani? Kwanini usumbue family members kukufungulia geti na kulifunga kila siku? Kwanini uhangaike kupiga simu kila siku hasa nyakati za usiku ukaribiapo kufika nyumbani ili ufunguliwe geti kwa haraka kwa kuhofia usalama wako usubiripo getini?

Livona Security Systems tunalo jawabu la tatizo hilo. Tunauza na kufunga gate motors (GATE AUTOMATION SOLUTION) kutoka South Africa. Zama za kufunga na kufungua mageti yetu manually zilishapita. Funga/fungua geti lako kwa remote ukiwa hata umbali wa mita100. Ikiwa umeme umekatika, motor inauwezo wa kufanya kazi mpaka masaa 8 kwa kutumia power backup ambayo inauzwa pamoja na motor yenyewe. Bei ya system yote (yaani motor,rack, remote 2 na battery) ni TZS 1.1mn tu. Tunapatikana Tegeta Namanga, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Kwa mawasiliano na ufafanuzi zaidi tupigie kupitia simu namba 0715 454570. Karibuni sana.

"Gate Motors for Convenient Access to Your Property"
 
Back
Top Bottom