Gas ya BP inahitajika

Gas ya BP inahitajika

Mparanyanga

Member
Joined
May 20, 2010
Posts
28
Reaction score
5
Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa Dar es salaam?
Mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie.
 
Back
Top Bottom