Hii si kweli kabisa na sijaona. Nimeshatuma magari mengi sana ya kijapani toka UK na hakuna tatizo kama hili..mkuu. Magari ya UK ni poa sana, imara na Mileage zake mara nyingi ni za ukweli. Na UK kama limesema ni 2007 ni kweli hakuna uchakachuaji. Chukua mchuma huo
hutajilaumu. Kwa kuongezea hizi Suzuki
zinatengenezwa Japana na kusafirishwa UK.[/QUOTEh]hiyo ni kweli kabisa soko la japan limeingiliwa na wahuni ambao wanachakachua sana magari..baadaye wanatangaza $2500 sisi tuona tumepata..ni wachache hawachanganyichanganyi...wao ni mafundi wa kubadilisha auto iwe manual nk,japani kuna sehemu nyingi wanaposaga magari wahuni wanakwenda kule wananunua kabda halijasangwa anaweka kapeti jipya..na rangi mpya..kisha sokoni ila uhuni huu hauwezifanyika UK