jocky187 New Member Joined Feb 9, 2026 Posts 3 Reaction score 6 Feb 12, 2026 #1 Mwenye gari za transit kuenda Maamba✅ Lusaka ✅ Naomba tuonge 0620411256
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 10,935 Reaction score 15,657 Feb 12, 2026 #2 Wewe dereva , utingo, mfanyabiashara au nani?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,789 Reaction score 113,326 Feb 12, 2026 #3 Unalipaje mkuu na inabeba mzigo gani? Ungeweka maelezo zaidi kidogo ili kupunguza simu nyingi. Gari zimekuwa changamoto sana kwasasa.
Unalipaje mkuu na inabeba mzigo gani? Ungeweka maelezo zaidi kidogo ili kupunguza simu nyingi. Gari zimekuwa changamoto sana kwasasa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,526 Reaction score 193,522 Feb 12, 2026 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,569 Reaction score 6,099 Feb 16, 2026 #5 @HAYA LAND HOV
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 21,520 Reaction score 43,818 Feb 16, 2026 #6 Sema ni agent una mizigo ya kutoka daslm kuja Lusaka na unalipaje ndio tuongee sio tuje kuongea tu na aina ya mizigo pia..
Sema ni agent una mizigo ya kutoka daslm kuja Lusaka na unalipaje ndio tuongee sio tuje kuongea tu na aina ya mizigo pia..
Pepe Madochi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 388 Reaction score 468 Feb 16, 2026 #7 Ngoja transporter waje