new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
taja location yako, kwa dsm nenda pale sayansi knyama, bei 250,000 - 400,000 kutegemea umbali nafikiriHabari zenu wana jf?. Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija kunyonya uchafu nyumbani kwako ni kiasi Gani?
mkuu unatoa wapi nguvu ya kujaza choo...na njaa kali mtaani..anyway yale magari sasa hivi yanatumika na dawasa kusomba maji safi na salama😁Habari zenu wana jf?. Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija kunyonya uchafu nyumbani kwako ni kiasi Gani?
😂😂😂 Choo Cha mwaka 1961, kiwe hakijajaa KWELI?Mkuu inaonekana unakunya sana wewe
Mm mzalendo mkuu😅We ccm au mzalendo?
Sisaidii vyawa
😂😂😂😂😂Mkuu inaonekana unakunya sana wewe
Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jijiHuku nilipo,"DAWASA" yetu nayo inatoa huduma hiyo ila sifahamu gharama zao!!
Nilikuwa Sina uhakika kama Yako chini ya dawmkuu unatoa wapi nguvu ya kujaza choo...na njaa kali mtaani..anyway yale magari sasa hivi yanatumika na dawasa kusomba maji safi na salama😁
Mm Niko mbeya mkuutaja location yako, kwa dsm nenda pale sayansi knyama, bei 250,000 - 400,000 kutegemea umbali nafikiri
Kama upo dar nenda kwenye ofisi za dawasa nao wanayoHabari zenu wana JF?.
Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija kunyonya uchafu nyumbani kwako ni kiasi Gani?
Shkamoo mkuu🤣Ni 250k
Ningekupa namba sema husalimii
😹😹😹 Nyie watu mtatuua mbavu zetumkuu unatoa wapi nguvu ya kujaza choo...na njaa kali mtaani..anyway yale magari sasa hivi yanatumika na dawasa kusomba maji safi na salama😁
This is uncalled for! Mkuu mbona unaleta taharukimkuu unatoa wapi nguvu ya kujaza choo...na njaa kali mtaani..anyway yale magari sasa hivi yanatumika na dawasa kusomba maji safi na salama😁