Saloon ni body type au kwa jina lingine sedan
Na hizo gari zinarange kuanzia cc900 hadi cc 1790. Hivyo ukinunua kutoka Japan moja kwa moja na sio kwa mtu utatumia gharama ndogo kwa ajili ya maintenance.

Hizo ni cubic capacity ya engine na inaamua ulaji wa mafuta na nguvu ya gari.
Kwa mfano Toyota passo ina cc 990 hivyo haitumii mafuta mengi ila pia haina nguvu ya kutosha. Gari za Suzuki (carry, swift, jimmy) pia zina cc chini ya hapo.

Kwa fuel efficiency chukua, vitz(ya zamani), passo, ukihitaji space ndani tafuta corolla spacio, sienta/sienta dice, raum au corolla runx.
NB: mimi sio mpenzi wa magari ya saloon(ie. carina brevis, crown, altezza na kadhalika) .
chukua toyota surf utastarehe kwa safari na mjini pia ni gari tamu sana haisumbui ovyo safari ni safari kweli ukiwa upo town misele kama kawa ipo bomba sana