Hebu tujuze ni TATA Model ipi?
Zimetengenezwa mwaka gani?
Zimetumika kilomita ngapi?
Zimeingia mwaka gani nchini?
Ziko mkoa gani?
Kwa sasa zimefanya kazi au zinahitaji matengenezo?
Ni Pick up au Saloon?
Mwisho sio vibaya ukatuwekea picha
Za mchana wadau hiz tata ni pikup sio mabasi I gari za kazi. Mtu atakaye nunia atakua milik wa pili
Maana zilianza kazi zikiwa zero km 0. ...kama unahitaj maelezo zaid calla ..pia kuna spacial new model na raum new model namba c zote kwa anaye hitaji bei 9.5m
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.