Gari ya wizi...

Bonobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
364
Reaction score
670
Habari wakuu..?

Wakat nafikiria hekaheka za kuachana na kuminyana kwenye mwendokasi, Kuna jamaa anataka kuniuzia premio new model yenye namba DA... kwa shillingi million 7.
Nipo najifikiria kwa hyo bei.. hisije ikawa jamaa anataka kuniuzia gari ya mbio( yani ya wizi).

Swali langu sasa... ntajiridhisha vip kuwa gar sio ya wizi?
Naombeni msaada wakuu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwambiye mkauziane POLICE....kama ni lake HATOBISHA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda na kadi ya gari ambayo inaonyesha registration number na chasis number, haswa kitengo cha interpol au kitengo kama hicho cha wizi wa magari. Kisha mkataba wa mauziano mmufanye kisheria mbele ya lawyer. Pia awe na file la particulars za kuingizia gari Nchini linaloonyesha proceedings zote
 
Kadi ya gari pamoja na vitambulisho vya mwenye gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekutana njia panda au mmekutana wapi
Adi uwe na wasi wasi!
 
Yani muuzaji ni jamaa wa jamaa wa jamaa na jamaa yake na jamaa yangu...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh kwani muuzaji hajulikani anafanya kazi gani mbona Mambo rahisi sana
 
Kwa ajili yako na watanzania wengine wenye fikra kama zako japo hajibu moja kwa moja swali usipime upya wa gari kisa ina usajali wa kitanzania unaoanzia na D hii ni lugha inayotumiwa sana na madalali wa magari kisa tu imeanzia na usajili wa D unaiona mpya. Uhalisia wa upya wa gari uko kwenye mwaka uliotengenezwa na matumizi period,,
 
Swali moja mkuu anaye nunuwa ni mwana mke au mwanaume!!?
Kuna kama kitu nina faham
 
Gari ya 2009 pia wanaiita new model

Sent using Nokia 7 Plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…