mbona ipoingine ina namba za DUBAI hiyo ilitolewa bandarini?
Nimekupata hapo, Njia ya siri za intelijensia.Polis hubandika namba za aina mbali mbali kwenye magari Yao ili kutotambulika mapema pindi wanapokuwa kazini Sidhani Kama namba za gari ktk gari la polisi ni issue cha msingi wananchi wanataka Haki ktk kusimamia usalama Wa Raia