Gari ya Million 3 ipo?

Gari ya Million 3 ipo?

Mnyandughu

Senior Member
Joined
May 31, 2013
Posts
133
Reaction score
46
Naweza kununua wapi kigari ka bei hio kanaovumilia road zetu bara.
 
unataka baby walker mkuu?

toyota_ist_a1241094602b2657454.jpg
 
Mkuu hayo yapo Dar, waletee hilo burunguti la fedha uondoke na mkweche
 
hiyo hela ni cif ya suzuki kei be foward japan... sasa itume japan kisha utafute m3 nyingine ya kutolea gari bandarini
 
Ingia mtandao wa zoom kaka kuna pajero nliiona iliikuwa inauzwa laki8
 
Duuh hiyo noma 3mil??au bila engine ??zipo kwenye gereji kibao bongo au uwe tayari kuwa na urafiki na wenye gereji huko manyara mkuu.maana kwa bei hiyo utauziwa skriper mkuu
 
Zipo mkuu... balloon na hata gx 100.. sema uwe na hela ya kuirekebisha kidogo
 
Back
Top Bottom