Gari ya kununua

Gari ya kununua

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Wadau wenye uzoefu na magari.naomba ushauri wa aina gani ya gari(automatic) nayoweza kununua baada ya kuuza niliyonayo.isizidi 1500cc. Nategemea kuwa na tsh 7milions baada ya kuuza na kuongezea kiasi flani cha pesa.
Niko dsm. Matumizi yangu mara nyingi ni ya kawaida sana kwa siku.mara nyingi natumia kwenda kazini ambako ni kama km 1 kutokea napoishi.
NINA BODY KUBWA FLANI ALAFU MREFU KIASI.napenda yenye nafasi ya kutosha hasa kwenye seat ya driver.
Niliyonayo nauza sababu nataka kujiupdate tu na sio kingine.yenyewe ni 1.5cc ila iko ki-tax zaidi.(COROLLA LIMITED)
 
i say kwanini hukanyagi tu hizo 1.5 km?mawazo yangu tu
ngoja waje wenyewe hapa watakupa msaada wa gari
 
Nunua Toyota IST ina CC 1300, haijakaa ki-Taxi na ni ya kisasa zaidi. Vinginevyo nunua Toyota RAUM 1450 cc in sifa kama IST ,ila haijakaa kisasa sana. Au Jikakamue unununue RAV4, cc 2000, uweke heshima mjini.
 
VW Polo cc 1400 tu na ni yakidigitali zaidi
 
Back
Top Bottom