SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Tunahitaji gari ndogo ya kukodi kwa kutwa maelewano km sh 25,000 per day(120 km limit per Day) ikiwezekana na deposit kama security tutaweka ndani ya jiji la Dar 35 km radius na inaweza kutumika zaidi ya mwezi mmoja, iwe isizidi 2000cc kwa petrol na 3000cc Diesel, saloon or SUV ni sawa tu
Mwenye nayo ani PM
Mwenye nayo ani PM