[emoji23][emoji23] hakika ni yeye umenikumbusha mbali sana, nilikuwa namtumia miaka ya 2000 mwanzoni enzi hizo hakuna bajaji wala boda.
Alikuwa ni moja ya taxi drivers wanao aminika sana ingawa alikuwa mtu wa tungi sana. Juzi kati nilikuwa Sgd nikamwona anaendesha Virgo moja nadhani ameajiriwa mahali kwa sasa.