steam of ice
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 257
- 172
Hahahaah kwa wanaotumia magari hayo bei hiyo ni nafuuMkuu tafadhali tunaomba usituharibie lugha yetu, unaposema bei nafuu afu unataja Milioni 95 hayo ni matumizi mabaya ya lugha yetu pendwa. Ni hayo tu mkuu.
Mkuuu matola wewe utakua ni mhindi hki kiswahili chako hakitaki ujinga kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Magufuli ni hattlari asee, heshima inarudoi mjini.
Wewe kiswahili chako cha kibarobaroMkuuu matola wewe utakua ni mhindi hki kiswahili chako hakitaki ujinga kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heri mimi sijasema!Wewe kiswahili chako cha kibarobaro
hki - hiki,
mhindi-muhindi
Ni kweli, ila umeandikaHeri mimi sijasema!