super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 371
- 110
Gari ya biashara inauzwa, aina ni Isuzu Journey engen ya 4BD1, iko barabarani kwa sasa na vibali vyoote vipo active, TLB, Insurance, Kodi ya Mapato. Ilikuwa njia ya Ubungo Masaki sasa imehamishiwa Makumbusho Ununio, barabara nzuri sana, kwa wanaojua magari ya biashara Isuzu Journey is the best for business, spea zpo nyingi na ni cheap sana
Bei yake ni Millioni 16 negotiable, piga simu namba 0713 227 551 tupige stori sana tu na kama wataka kuiona gari,
Picha hizi hapa
Bei yake ni Millioni 16 negotiable, piga simu namba 0713 227 551 tupige stori sana tu na kama wataka kuiona gari,
Picha hizi hapa