Gari toyota stout inauzwa

Gari toyota stout inauzwa

KANAL

Senior Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
112
Reaction score
66
NINAUZA GARI TOYOTA STOUT KWA TSH7,000,000 TU.Model 2200 inatumia petrol, serious buyer anicheki kwenye namba0766205803
 
Mkuu Kanali hiyo stout ina km ngapi mbona bei kubwa hivyo!!!!!
wewe unapatikana wapi mimi naitaka ila bei yako mkasi mkuu!
punguza then ongea usikike!
 
mkuu mjamaica mi nipo khm,gari ina km zakutosha lakini siunajua hizi ni gari za kazi,kama upo serious bei inapungua
 
Weka picha mkuu,tutoe tathmini,pia weka na details zingine kama mwaka n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom