Gari nzuri inauzwa bei sawa na bure..

Gari nzuri inauzwa bei sawa na bure..

mmmh hilo gari umeiba wewe!

ama utaka kuwadhulum ndugu zako

sijui wewe mwenyekiti wa ccm tawi gani
 
Sijaomba namba ya mtu mkuu,nimeomba email ya mtu ambaye atakuwa interested ili niweze kutuma details zaidi pamoja na picha,tatizo ni nini mkuu kwani? TRA si wapo,pamoja na vyombo vingine kuhakiki? Mbona unaniita majina siyo yangu?

Don kaka una makosa unapotangaza biashara toa taarifa zote muhimu kuhusu hiyo biashara hiyo ndiyo kanuni jifunze kwa wanaouza magari toka Japani kama Tradecarview wanatoa data zote ambazo mtu akisoma hahitaji kuuliza maswali tena kama biashara yako ni ya halali hofu yako nini kutoa details zako picha za gari na contact zako kutokufanya hivyo ndiyo maana umewashitua wana jf kukutilia mashaka kama labda unadaiwa au umeiba lakini hata kama unadaiwa kuuza mali yako ili kulipa deni ni heshima kuliko kujificha tumia busara usiwe mkali biashara haendeshwi hivyo.
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.


Ukombozi Tanzania Admin
 
Kwani hujui polisi na Interpol wana centralized information system kama gari limeibiwa,pia kadi au umiliki wa gari huwa si lina jina moja ya mmiliki 'ambaye ni mimi',au mwenzangu ukiona mali unatoa tu hela bila kwenda kuihakiki? Asante kwa majina uliyonipa pasipo kunijua.
mmmh hilo gari umeiba wewe!

ama utaka kuwadhulum ndugu zako

sijui wewe mwenyekiti wa ccm tawi gani
 
Mkuu gari engine ambayo ujaitaja zaidi ya boDi innantia shaka
pamoja na hayo
all the best
 
Sijaomba namba ya mtu mkuu,nimeomba email ya mtu ambaye atakuwa interested ili niweze kutuma details zaidi pamoja na picha,tatizo ni nini mkuu kwani? TRA si wapo,pamoja na vyombo vingine kuhakiki? Mbona unaniita majina siyo yangu?

Unaomba email ili uongeze SPAM 2 kwnye mail zetu. Weka full details wny interest wakutafute. Ukishantumia halafu nisipolipemda c umenipotezea muda. Au ndo unauza gari kachumbari. Engine toyota, gearbox nissan, body mitsubishi nk.
 
Sema liko wapi nije kulikagua kwani nina machungu sana. Ni miezi 6 sasa tangu nimeibiwa gari jipya na sijapata msaada toka serikali ya magamba.
 
Tafadhali jaribu kusikiliza na kufata ushauri unaopewa. Tangazo lako lina mapungufu mengi sana. Kwani ulishindwa hata kutaja aina ya gari unayouza mpaka watu wakakuuliza ndo ukataja. Mbona haukugoma kutaja aina ya gari? Kwa nini hayo maswali mengine hautaki kuyajibu? Tatizo lipo wapi? Watu wanakufundisha namna ya kufanya biashara alafu wewe unawadanganya kuwa gari limeshauzwa. Humu jamvini huwa tunafundishana pale mtu anapokosea. Ukileta ubishi hautapata mteja. Ushauri wangu kwako ni uwe muwazi ufanye biashara utatue hiyo dharura yako.
 
Ha ha ha haaa Kama ni Mitsubishi hiyo ni ndoa ya Kikristo... utakaa na Gari lako mpaka kifo kiwatenganishe... au uuze Scrapper LOL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom