Gari nzuri inauzwa bei sawa na bure.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari nzuri inauzwa bei sawa na bure..

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Don Calvino, Apr 20, 2012.

 1. D

  Don Calvino Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Body na engine iko nzuri bado,1998 model haijawahi kupata ajali kubwa.Nina dharura nauza.Private message maelezo zaidi.
   
 2. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  picha muhimu and other particulars
   
 3. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kama kweli una dharula kuwa muwazi,....

  Aina ya gari, CC, Insurance cover ikoje, weka picha, na imetembea KM ngapi ingawa gari nyingi zinazouzwa Dar/TZ huwa zinachakachuliwa milage,
   
 4. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Aina gani na kiasi gani?
   
 5. D

  Don Calvino Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutokanj na experience ya kuuza vitu kwenye internet unakutana na baadhi ya watu wanasema tukutane labda mbagala tuongee,unaenda kumbe mtu hayupo serious,thats why nimesema kama mtu upo serious maswali na majibu kwa private message,mtu akitaka maelezo niwekee email yako hapo nitakutumia kwa email pia.
   
 6. D

  Don Calvino Senior Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  1998 Mitsubishi FTO sports car,maelezo mengine ukitaka weka email yako utatumiwa mpaka picha
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Haupo 'siriasi':ranger:
   
 8. D

  Don Calvino Senior Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijakuelewa? Kama huna email adress pole sana.
   
 9. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Mimi naona hauko serious. Wewe umesema unauza gari, watu wanakuuliza maswali yanayo husu hilo gari, pia uwapatie picha, wewe unataka wakupe No. zao za simu (Contact zao ili muwasiliane kwa private SMS, au kama wanataka wakupe e-mail yao ili uwasiliane nao.

  Nawasiwasi na wewe, yawezekana kabisa wewe ni tapeli. - Sorry for that.

  Wewe ndo unapaswa uweke contact zako pamoja na email zako ili kama kuna mtu anahitaji awasiliane na wewe.

  AU UNAUZA UNGO
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa!!!

  Usishangae, waswahili hawajui biashara!
  yeye ndo mwenye shida, halafu anagoma kutoa taarifa kamili,
  kwani akitoa particulars, gari itachakaa au??

  Au UNGO??!!!
   
 11. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mtu anakuambia haupo serious wewe unamwambia hujamwelewa? eti unampa pole kwa kutokuwa na email adress?
   
 12. D

  Don Calvino Senior Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijaomba namba ya mtu mkuu,nimeomba email ya mtu ambaye atakuwa interested ili niweze kutuma details zaidi pamoja na picha,tatizo ni nini mkuu kwani? TRA si wapo,pamoja na vyombo vingine kuhakiki? Mbona unaniita majina siyo yangu?
   
 13. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ndo maana biashara zinatudodea. Halafu tunatafuta mchawi, kumbe wachawi ni sisi wenyewe. Kauli zetu si za kibiashara.
  Nimeona watu wengi waliopoteza fursa za biashara kwa kauli mbofumbofu. Kazi tunayo!
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hivi kujiunga jf......unajisajili kwa kutumia sanduku la posta.......?
   
 15. D

  Don Calvino Senior Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Instruction zipo simple sana kama umeelewa tangazo langu,nimesema kwa maelezo zaidi nitumiwe private message,au unaweza ukanipa email yako nikutumie details,bado hujaelewa mkuu?
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh wengine huwa wanaleta picha hapa na particulars wewe unataka utafutwe uzitume kny email kwani ukiweka hapa itakuwaje??naskia harufu ya utapeli....utakuwa unauza kimeo wewe
   
 17. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  toa kontakti/particulars za gari kwanza jamii ione mwenye kuhitaji atakutafuta mambo hadharini nini kuficha kama upo kwenye biashara
   
 18. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hiyo gari si mliachiwa urithi na baba yenu, kwa nini unataka kuiuza kinyemela bila kuwajulisha wadogo zako.? kama mimi mwongo thubutu kumwaga mapicha na particulars zake humu JF.
   
 19. D

  Don Calvino Senior Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nakusikitikia sana huku nikicheka,wenzako wote wameshapewa details na picha kwa private message,huku wengine wameshakagua na kwenda TRA kufuatilia ownership na sehemu nilipoagizia n.k. Wewe bado tu hujaelewa instructions,kwani private message za Jamii Forums zimewekwa urembo?
   
 20. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  That's not how modern business works! Katika dunia ya sasa, hakuna atakayetaka (kununua) gari akashindwa kuipata gari ya kununua.....kinyume chake, wapo kibao wanaotaka kuuza magari yao lakini wanakosa wanunuzi!! Nawe, unaingia kwenye kundi la wauzaji wengi wasio na uhakika wa kupata wanunuzi (potential buyers)! Hivyo basi, mtu kama wewe ndie ulitakiwa kumwaga sifa zote za bidhaa yako ili ziweze kumvuta hata yule ambae hakufikiria kununua kwa sasa! Maringo ya wauzaji ya wauza bidhaa yalishaisha tangu zama za Nyerere! Kama unahitaji potential buyers, make photoz of ur car kisha zi-post hapa unless kama unazani haina good look! Toa specification na kuzipamba vilivyo....kumbuka kuzifanya weakness za gari yako kuwa opportunity! Kwa mfano, watu wengi hawapendi gari yenye cc kubwa kutokana na kunywa sana wese! Hii ni weakness....ambayo unaweza kuieleza kwamba ina cc 3000 ambayo kutokana na ukubwa wake inakuwezesha kwenda nayo hadi South Africa with your princess/prince beside u.....u don' need 2 board planes or buses any more when u own dis car!!! Huo ni mfano tu!
   
Loading...