Gari nzima inauzwa very cheap

Gari nzima inauzwa very cheap

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Habari Wandugu,
Kama Title inavojieleza ,
Gari hili hapa...Linauzwa..dharura imetokea hela inahitajika haraka.

Make : Toyota Carina
Model: ED
Engine Type: 3S cc 1990 (nzima sana haijawai kufunguliwa)
Sport Rims
Radio ,Leather Seats
Vibali vyote (Insuarance, Road License) up to date , fire,triangle

Ina shida ya AC tu (ya kuziba pipe na kujaza), na body kuna sehemu imechubuka.

hela inayotakiwa: 2.5M ( Millioni Mbili na Nusu)

kama nilivojieleza..gari ni nzima kabisa..njoo na fundi wako..ni dharura imetokea hela inahitajika. ukiwa serious
# 0672231880 (Iko Dar)

Photo0102(1).jpg SAM_0172.JPG SAM_0171.JPG
 
mkuu hebu niambie vizuri...2.5m tu!!na kwani nikiinunua kwa siku nitakuwa naenda mara ngapi garage!!!!
 
mkuu hebu niambie vizuri...2.5m tu!!na kwani nikiinunua kwa siku nitakuwa naenda mara ngapi garage!!!!

Hahaha Nimekwambia njoo na fundi wako myfriend...au sema uliko nije nalo.(iwe karibu na mwenge dar)
 
Hahaha Nimekwambia njoo na fundi wako myfriend...au sema uliko nije nalo.(iwe karibu na mwenge dar)
hili kaka kalitelekeze kwenye kituo cha polisi kilicho karibu na wewe kama hutaki kuwauzia watu wa scraper.
 
Hiyo picha inaonesha ulipiga 2013, weka current pictures...jaribu kuwa mbunifu kwny biashara
 
Hyo picha ya 2013 hadi Leo iko hvyohyo tuu,..au ziko mapacha?
 
Hana mpiga picha wa 2015 alafu hizo huenda ndo alizogoogle enzi anauziwa. Tusimlaumu. Mwenye pesa amsaidie
 
hapo ndo naposhangaaga...watu ukiwapa kitu bei ya juu watakwambia hiyo bei ghali....ukipunguza sana watakwambia uzushi/feki/uongo.... ha ha ha yani kazi kweli...

nimeshawaambia alie serious aje na fundi wake ajiridhishe...bado mna bisha bisha..mmezoea kuona magari bei ya juu.... wengine hatuuzi ili turudishe hela tuliyonunulia jamani..hayo mambo ya kiswahili
 
Carina cc 2000 no A,asee ni hatr san iyo kitu,ssa muuzaji kasifia ila kuna upande wa ushaur pia kua mtubakinunua atapat hasara gan?kwan hata taxi uezi fanya ni kubwa sana..
 
Back
Top Bottom