Gari nissan tiida bei 4,500000/-

Gari nissan tiida bei 4,500000/-

Ila kama inahitaji gear box oil..tujue kua nissan nyingi zinatumia fluid matic J...ambayo lita 1 tu ni 55,000 pale kisangani msimbazi au mastercard...sasa ikiwa ni lita 4 unaona hapo... engine oil ni bp standard au premium ambazo lita 5 ni 60,000 .

Mi nachouliza kwa upya huo gear box oil imechokaje
swali zuri sana
 
Nini mkuu. Mie nnaongelea hivi vi baby walker vyetu sijawah kusikia vinakula service ya pesa hiyo. Labda mie mshamba niambie baadhi zinazofikia hiyo pesa
Inategemeana na aina ya gari mzee baba
 
Back
Top Bottom