Ni kweli gari ni zana muhimu sana kwenye maisha ya mzinzi. Wale wazinzi wanaojitambua lazima wafanye kila namna waonekane wanaendesha magari. Kundi lingine ambalo wana uswahiba na gari ni matapeli. Hao pia hutumia gari kwenye shughuli zao.
Kwa upande mwingine gari lina umuhimu sana kwenye kujiongezea thamani kwa mfanyabiashara. Kwa mfano supplier ukiwa na gari ni rahisi sana kuaminika na kupewa kazi.