Gari ngumu inahitajika

Gari ngumu inahitajika

Habarini wakuu.

Natumai mko poa,

Msimu wa kupanda unakaribia, hivo nimeonelea ni bora kutafuta gari nzuri ya kwenda mashambani hasa msimu wa mvua ambapo pikipiki inakulazimu kunyeshewa.
Budget 3-5 M
Mdau, bajeti hiyo halafu unataka gari ngumu? Haya kiongozi labda utapata good luck. .
 
Back
Top Bottom