Gari ndogo inahitajika (vitz,starlet and the like) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ndogo inahitajika (vitz,starlet and the like)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Andrew Kellei, Feb 13, 2012.

 1. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wakuu inahitajika gari ndogo ya matumizi ya hapa mjini Dar es Salaam ambayo matumizi ya mafuta ni ikonomiko.
  Iwe katika hali nzuri na iwe inatembea.
  Iwe hapa hapa Dar bajeti mil 4.
  Kwa walio siriaz kusaidia naomba wani PM.
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  napita tu,wahusika wanakuja
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hyundai xg 300 registration 2003 amount US$ 15,000 at your door. All duties paid. Executive black, Limousine/sedan

  Vipi hii iankukuna?
   
 4. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mshiiri thanks,ila bei ni kubwa sana.
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  mkuu wee mkareeeee...yani unataka vitz ya 4m??...labda starlet ila vitz utakuwa unaleta maskhara aisee...hebu jaribu kuchungulia hizi gari bei za showrooms ndio uje na proposal yako ya bei... ni ushauri tuu
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hata kwa 6m haupati kwa mtu na showrooms zinaanzia 8m kwenda mbele
   
 7. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante kwa ushauri.
   
 8. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hayo ni mawazo yako,nipo kwenye mazungumzo na jamaa anataka 6M,nataka anipunguzie kidogo kwani tatizo ni hela.
   
 9. bank

  bank Senior Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  WE UNAONEKANA UNATAKA GARI AMBAYO NI VERE VERE FOURTH USED.
  kwanini usisubiri ukaongezea hela hela ukapata HATA starlet nzuri.

  mi nauza carina TI imported nov.2011 KWA SH.9.5M
   
 10. kipusy

  kipusy JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Hiyo hela nunua t-better
   
 11. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu sio unanunua gari badala ya kufanya mambo mengine kutwa kushinda garage na mafundi,hizo gari siku hizi zina bei sana kutokana kupanda kwa mafuta,yaani bei yake inaenda kuipita cresta gx 100 kwa kuwa ni six cylinder cc 2500 wakati vitz ina cc 980
   
Loading...