Gari ndogo inahitajika ( Toyota Vitz, Starlet, Passo)

Gari ndogo inahitajika ( Toyota Vitz, Starlet, Passo)

Guest321

Member
Joined
May 16, 2011
Posts
20
Reaction score
15
Gari ndogo ya kukodi inahitajika. Iwe katika hali nzuri. Itatumika kwa matumizi ya kawaida tu sio biashara kwa muda wa wiki mbili.

Ikiwa Toyota Vitz, Toyota Starlet au Toyota Passo itafaa zaidi.

Tafadhali tuma PM tufanye biashara.
 
Unalipaje sasa?

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
ungekuwa arusha ningekwambia onana na Arushaone
Gari ndogo ya kukodi inahitajika. Iwe katika hali nzuri. Itatumika kwa matumizi ya kawaida tu sio biashara kwa muda wa wiki mbili.

Ikiwa Toyota Vitz, Toyota Starlet au Toyota Passo itafaa zaidi.

Tafadhali tuma PM tufanye biashara.
 
Last edited by a moderator:
mi nakodisha ya kwangu T387 CDF..IKO FULL insured& raod licence

nicheki Whatsap 0755 927881
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom