Gari nauzwa isuzu fargo inafaa kwa hiace

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
476
Ipo ARUSHA
CC 2660
MODEL;NISSAN TD 27 ISUZU FARGO
Bei mil 14
haidaiwi,inatumiwa kwa sasa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi wa english medium school
haijawahi pakwa rangi bali ina jina la
picha za gari.jpg
picha za gari.jpg
picha za gari.jpg
shule tu kwenye ubavu
lipo vizuri engine ni bora nataka niuze haina shida bali mm ndio nina shida nataka niingie shamba kulima
picha nitawatumia mda si mrefu
 
Tatizo umedanganya unatuma picha muda c mrefu tangu juma5 hadi leo nehi... sasa tutaamini vipi taarifa ulizoweka??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom