Gari mil. 3.9 namba c

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Nauza hili gari Mil. 3.9
Ubora wa hali ya juu... Nicheki 0684223374
 

Attachments

  • 20181004_163117.jpg
    152.6 KB · Views: 87
  • 20181004_163138.jpg
    124.5 KB · Views: 78
  • 20190210_083945.jpg
    283.1 KB · Views: 44
  • 20190210_084306.jpg
    287.3 KB · Views: 40
  • 20190210_084032.jpg
    211 KB · Views: 43
Mkuu nalipa milioni moja cash nipe tigo pesa au airtel money . Kufufua hii gari hadi isimame inahitaji milioni 6 cash. Nilitakiwa nikupe laki 9 sema nimeona nikuongeze hiyo laki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linafaa kufugia bata mkuu?Pokea laki nne na nusu mkuu.Wananchi ni kusaidiana.
 
ukifatilia maisha halisi ya walio toa kejeli unaweza cheka upasuke

NB: mmoja wao namfahamu na khali yake ya maisha naifahamu ila tambo zake hahahahhahahah!
Haha hii ndo jf,watu wamejificha humu..nakujiona wako vizuri sana
 
mkuu..hujatoa last offer ni bei gan?au ndo hakuna discount?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…