Gari lingine serikali laua mtoto kibaha.

Gari lingine serikali laua mtoto kibaha.

shin gun wook

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
995
Reaction score
1,515
Wakuu nimepita mida hii maeneo ya Mlandizi,kuna ajali mbaya sana imetokea..limegonga wanafunzi wawili ,mmoja kafariki apo apo na Dereva kakimbizwa hospitali. Picha sijafanikiwa ila naamini zitakuja,madereva wa gari za serikali na hizi speed barabarani wadhibitiwe
 
hiyo sentesi imenivuruga aliyefariki ni dereva? au mwanafunzi?, halafu kafukuzwa hospital au kakimbizwa kwa kosa gan?
 
Stk stl dfp sth ni chinjachinja #"hawa ni madereva wasomi au bongo fleva ukiliona kimbia
 
Stk stl dfp sth ni chinjachinja #"hawa ni madereva wasomi au bongo fleva ukiliona kimbia
Kwa sasa,walio wengi nahisi ni wa kanda ileee wanakotoka bosses wao.
 
Mmh madereva wa Gari za serikali wengi wao wanakimbia sana na gari na kupelekea kutokuwa makini.
Tarehe 9 October nilliongozana na DFP cruiser had top (ambulance) ya simiyu hakuwa na mgonjwa.
Maeneo ya Hungumalwa jirani na njia panda ya Kwimba.
Daah speed 120 barabara yenyewe ina Matege nikajiuliza anakimbilia wapi!?
Kiukweli wako rafuu sehemu sio ya overtake yeye anaovertake
Mweeeh ni shida
 
Stk stl dfp sth ni chinjachinja #"hawa ni madereva wasomi au bongo fleva ukiliona kimbia
Kuna hali ya Superiority Complex iliyojengeka serikalini ambayo imeshuka hadi kwa watumishi wote madereva inclusive.Wanajitofautisha na wengine kwa kutoheshimu sheria mfano kutokaa foleni n.k
 
Back
Top Bottom