Gari linauzwa

MoPlan

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
908
660
Hi wanajamii!
Nauza gari yangu TOYOTA SPRINTER, ipo kwenye hali nzuri inafaa kwa biashara ya Taxi.Mwenye uhitaji anitafute kwa simu no.0714099916 documents zote zipo bei maelewano.
 
Weka picha mkuu. Ya mwaka gani, CC ngapi, mileage, bei?
 
Hivi huwa mnashida ya kufanya biashara au ties tu hapa JF, utauza gari kwa stahili hii au ndo makeke tu; picha na maelezo ya gari Je?? Rangi, MT au AT, Mileage, engine power etc?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom