Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
inatembea....?mbona hujataja specifications zake...
View attachment 56115
Kwa anayependa tuwasiliane...
Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc.
LINATEMBEA…
Maelezo zaidi wasiliana na 0754489001 au 0658489001
mmmh, hapo urafiki na mafundi lazima
umri wa mpiga kura 2015, nakupa offer ya 1m; nikaliscrup
Halijawahi gongwa; ila lipinduka lenyewe 2006 baada ya kuburst tairi ilibidi kupakwa rangi na kuweka kioo kingine cha mbele hapo ilikuwa kama mwezi mmoja tangu kununuliwa...Je ilishagogwa au kupigwa rangi na kwanini unauza?
Nikipata hayo majibu nitakutafuta.
Kama mpaka leo hujapata mnunuzi, ina maana haiuziki. Ila nina wazo moja: anza kuliuza kama chanzo cha vipuri. Mfano mimi nahitaji hiyo stabilizer rods, tires, engine mounts, mikono, usukani, etc kama upo tayari ni PM.Halijawahi gongwa; ila lipinduka lenyewe 2006 baada ya kuburst tairi ilibidi kupakwa rangi na kuweka kioo kingine cha mbele hapo ilikuwa kama mwezi mmoja tangu kununuliwa...
Tunauza sababu limetuchosha na hatuna sababu ya kuwa na gari zaidi ya moja kwa sasa!
Lilikuwa linafanya kazi ya tax sasa hailipi...