Gari linauzwa bei rahisi sana,,,

Gari linauzwa bei rahisi sana,,,

ibrahimaly

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
19
Reaction score
0
HELLOW
DAIHATSU MIRA 2003 ,GOOD CONDITION.AC,RIGHT HAND,AUTOMATIC,NO DAMAGE ,EXELLENT CONDITION
100 PERCENT NO ANY PROBLEMS, VERY VERY CHEAP,JUS AROUND 5.3MILLIONS AMAZING PRICE.
Contact,.... ebayzanzibar@gmail.com ,0778 619 619 .very cheap ,contact for more info and PICTURES,
JUS ARRIVED FROM DUBAI
 
Mkuu hili ni jukwaa la wagonjwa,waganga na waganguzi,wenyewe hawapendi mambo haya,nimekunon'goneza tu hawajasikia bado...omba. msaada wa haraka biashara yako iondolewe pande hizi kabla wenyewe hawajafika.
 
Mkuu hili ni jukwaa la
wagonjwa,waganga na waganguzi,wenyewe hawapendi mambo
haya,nimekunon'goneza tu hawajasikia bado...omba. msaada wa haraka
biashara yako iondolewe pande hizi kabla wenyewe hawajafika.

Bora umemsaidia maana!
 
What's wrong, naona ni jukwaa la matangazo? Wameshabadlisha rules?

Mkuu hili ni jukwaa la wagonjwa,waganga na waganguzi,wenyewe hawapendi mambo haya,nimekunon'goneza tu hawajasikia bado...omba. msaada wa haraka biashara yako iondolewe pande hizi kabla wenyewe hawajafika.
 
yaani huyu jamaa ni anatupotezea muda, yaani nitumie pesa ingine zaidi ya hii ya kifurushi cha internet kucheck picha? we huoni wenzio wewe... weka pict au toa tangazo lako hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom